Angel Benard – Nikumbushe Wema Wako

Angel Benard - Nikumbushe Wema Wako mp3 download lyrics itunes full song

Angel Benard – Nikumbushe Wema Wako Mp3 Download, Lyrics & Video

Today is gonna be perfect as the highly talented Tanzanian gospel music songstress and songwriter Angel Benard who has been receiving lots of attention all over the internet and social media platforms since she announced the release of her latest project is here today with a fresh hit track titled “Nikumbushe Wema Wako” off the recently released project to bless our lives.

VERY HOT: Angel Benard – Need You to Reign

The already buzzing hit track which is blessed with a catchy sound and a powerful vocal is lifted from off the just-released 2023 Nikumbushe Wema Wako Album which housed 13 hit tracks.

Without wasting time, do well to download the gospel songs by clicking the download link below, and don’t forget to share it with your friends and family.

Enjoy The Video Below:

Lyrics:

Halleluhya uh eeh
Halleluhya

Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele
Pale mambo yanapoonekana hayaendiii
Ni ajabu sana namna moyo unahangaika (kutafuta majibu)
Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka
yakwamba japokuwa Mungu anaishi ndani yangu
kuna muda nahofu,
japokua Mungu anaketi kati yetu
kuna muda nahofu

Oh Oh
japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi,
Kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwanaa.
Lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa yalibadilika mambo,
Manung’unikoo yalisimama na kusahau muujiza alotenda Bwana Mwanzo aah.
Eee Mungu Niisaidie enhe

Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu

Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machoziii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii

Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu

Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machoziii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii

Eeeh Ee MUNGU Nisaidiee
Nisaidieee kukumbuka baba yakwamba umenichora kiganjani mwako
kati ya wengi walioko duniani eenh na mimi umenionaa oooh ooo
Nikumbushe baba yakwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa
yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleniii. ouoooh ooh
Yakwamba kama ungeniacha hatua moja nisingelifika nilipo ooh eee Babaa
umenikung’uta mavumbi, kung’uta mavumbi mimi na kuniheshimisha.

Oh Oh
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu(Nisaidie Yesu)
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu

Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii

Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu(Nisaidie Yesu)
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu

Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii

Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu(Nisaidie Yesu)
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu

Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii

Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu(Nisaidie Yesu)
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu

Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii

Oh Oh

Listen to Angel Benard – Nikumbushe Wema Wako and share your thoughts below:

STREAM, LISTEN OR BUY HERE

DOWNLOAD MP3

Leave a Reply