X

Godwill Babette – Upenyo

Godwill Babette – Upenyo Mp3 Download, Lyrics & Video

Today is gonna be amazing as the highly talented Kenyan gospel music singer Godwill Babette comes through with a fresh hit track titled “Upenyo” to bless and perfect our day.

VERY HOT: Evelyn Wanjiru – Yesu Ft Eunice Njeri & GodWill Babette

The already buzzing hit track which is blessed with a powerful message is also accompanied by a captivating video to make our weekend a special one.

Without wasting time, do well to download the gospel songs by clicking the download link below, and don’t forget to share it with your friends and family.

Listen to Godwill Babette – Upenyo and share your thoughts below:

DOWNLOAD MP3

Godwill Babette – Upenyo Lyrics:

Kuna uuuu—upenyo, kwenye anga
Mallaika wa Mungu, wamefika,
Wanapanda wanashuka na majibu ya maombi
Wanapanda wanashuka na majibu ya maombi

Melody-introducing
Matatizo mengi ,,,hayana suluhu,,,yesu usiponguruma
Na maswali mengi, hayana majibu, yesu usiponguruma
Kuna kesi nyingi , wanahukumiwa bure, yesu usiponguruma
Na mateka wengi hawana mkombooozi, yesu usiponguruma

Nani kama wewe, jemedari, mtatuzi wa matata, kwa wenye mwili kwa wenye mwili
jemedari, mtatuzi wa matata, kwa wenye mwili kwa wenye mwili

nina haja na wewe, simba wa kabila la yuda,
nikiwa na wewe nira, zote zimepasuuuuuuuuka,

Kuna uuuu—upenyo, kwenye anga
Mallaika wa Mungu, wamefika,
Wanapanda wanashuka na majibu ya maombi
Wanapanda wanashuka na majibu ya maombi

Aye aye ayeh, ayeeeeeeeh
Aye aye ayeh, ayeeeeeeeh
Wanapanda wanashuka na majibu ya maombi
Wanapanda wanashuka na majibu ya maombi

Kuna uuuu—upenyo, kwenye anga
Mallaika wa Mungu, wamefika,
Wanapanda wanashuka na majibu ya maombi
Wanapanda wanashuka na majibu yetu.

Aye aye ayeh, ayeeeeeeeh ayeh ayeeeh.

Yooote yanakwisha tu, ukinguruma , baba ngurumah

View Comments (2)

  • Kuna uuuu—upenyo, kwenye anga