Zabron Singers – Baada Ya Ndoa

Zabron Singers - Baada Ya Ndoa mp3 download

Zabron Singers – Baada Ya Ndoa Mp3 Download, Lyrics

Today is so gonna be amazing as the highly prestigious Tanzanian gospel music band Zabron Singers are here today on the platform as they finally released a fresh new hit track which they titled “Baada Ya Ndoa” off the just-released album to bless and perfect our day.

VERY HOT: Zabron Singers – Naogopa

The already trending hit single which is lifted off the just-released 2023 Niko Sawa Album is blessed with a powerful vocal and an infectious sound that would get us following and singing through.

Without wasting time, do well to download the gospel music by clicking the download link below, and don’t forget to share it with your friends and family.

Enjoy The Music Video Below:

Listen to Zabron Singers – Baada Ya Ndoa and share your thoughts below:

STREAM / DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MP3

Lyrics:

Dear Mama hebu tuongee kidogo nimepata mchumba na nataka nataka nioe
Je ng`ombe ngapi nitadaiwa mwambie mjomba ajiandae
Tena baba mkwe amekaza tutoe za kutosha iwe fedha au mali mambo yaende
Na mkoti wa Mjomba tutanunua kanga ya shangazi nayo iwepo
Kwenye ndoa Babu na bibi kabisa wasikose wasikose uhondo nataka watu wote wawepo
(Baada ya ndoa) ya ndoa ya ndoa
Tushaongea tutajikabidhi hata baada ya ndoa baby tushaongea mpaka kifo kije kitutenge
Hii baada ndoa baby
Baada ya ndoa tukawasalimu na ndugu zetu, baada ya ndoa twende tuwaone kijijini kwetu
Baada ya ndoa twende tumuone na Baba mkwe, mmh Baada ndoa twende kanisani pamoja baby
(Baada ya ndoa) ya ndoa ya ndoa

Baada ya ndoa maelewano tumeshaongea na sweet tusingombane
Ka utani tucheke kidogo tubebishane mpenzi ukiwa safari nitakumiss
Baada ya ndoa baby ya ndoa baby maelewano tumeshaongea na sweet tusingombane
Tulinge tulinge kidogo, kidogo tubebishane mpenzi ukiwa safari nitakumiss
(Baada ya ndoa) ya ndoa ya ndoa
Mwambie na jilani ajipange harusi inakuja aje elete na zawadi
Ndungu na marafiki watakuja tena watapendeza wakinishangilia mimi.
Baada ya ndoa maelewano tumeshaongea na sweet tusingombane
Ka utani tucheke kidogo tubebishane mpenzi ukiwa safari nitakumiss
Baada ya ndoa baby ya ndoa baby maelewano tumeshaongea na sweet tusingombane
Tulinge tulinge kidogo, kidogo tubebishane mpenzi ukiwa safari nitakumiss
(Baada ya ndoa) ya ndoa ya ndoa

Leave a Reply