Zabron Singers – Nifundishe

Zabron Singers - Nifundishe mp3 download

Zabron Singers – Nifundishe Mp3 Download, Lyrics

Today is so gonna be amazing as the highly prestigious Tanzanian gospel music band Zabron Singers are here today on the platform as they finally released a fresh new hit track which they titled “Nifundishe” off the just-released album to bless and perfect our day.

VERY HOT: Zabron Singers – Nimerudishiwa

The already trending hit single which is lifted off the just-released 2023 Niko Sawa Album is blessed with a powerful vocal and an infectious sound that would get us following and singing through.

Without wasting time, do well to download the gospel music by clicking the download link below, and don’t forget to share it with your friends and family.

Enjoy The Music Video Below:

Listen to Zabron Singers – Nifundishe and share your thoughts below:

STREAM / DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MP3

Lyrics:

Anatupenda (mmmmmh hi hii)
Anatupenda
Anatupenda (hiii hiii hiii hiii hiiii)
Maisha ya mwanadamu kuishi kwake huwa mara moja
Yakishapita yakishapita huwezi kuyarudisha
Mbona twaishi twaishi kwa nguvu za Mungu pia uwezo wake
Tumkumbuke Mungu siku za uhai wetu
Kama unataka muijiza ni huu hapa sasa wa wewe kuamka
Hee je ni wangapi wamelala wakashindwa kuamka kwani we ni nani au
Unafikiri uzuri wako umekufanya uwe hai au ni dakitari wako?
Heii si kwa nguvu zangu mimi wala nguvu zako wewe ni kwa nguvu zake Mungu mmmh
Ndio maana tuko hai anazidi kutulinda ameonekana kwetu uuu.

Nifundishe
Nifundishe kukutegemea kwa hali zote ninazopitia
hata kwa magumu yote kwa magumu Baba, ngome yangu
Wewe ndio kimbilio langu na ngome yangu haleluyaa
Nifundishe Baba (fundishe yesu, hali zangu)
kukutegemea kwa hali zote ninazopitia
hata kwa magumu yote kwa magumu yangu, Baba yangu
Wewe ndio kimbilio langu na ngome yangu haleluyaa
Wanijua Baba heee Wanijua Baba wanijua Mungu hali yangu

Alisema giza liwe nalo likawa haah kwa fimbo Musa bahari akaigawa haah
Tanuruni aliwaacha midomo wazi heheeh mtu wa nne katoka wapi?
Kwa kugusa pindo yule mama kapona haah Batimayo nae kapona kwa mate na tope
Hajaanza jana na wala haishii leo, ni Mungu wa yakobo Daudi Milele amina
Hebu fikiria Imani yako ilivo ndogo na matendo yako bado anakulinda badoo
Ni Dhahiri kuwa Mungu wetu huyu
anatupenda anatupenda Haleluyaaa anatupenda
Anakupenda kupenda ulivyo, ulivyo wewe Mungu wangu

Nifundishe
Nifundishe kukutegemea kwa hali zote ninazopitia
(hata kwa magumu yote kwa magumu Baba, ngome yangu)
Wewe ndio kimbilio langu na ngome yangu haleluyaa
Nifundishe Baba (fundishe yesu, hali zangu)
kukutegemea kwa hali zote ninazopitia
(hata kwa magumu yote kwa magumu yangu Baba yangu)
Wewe ndio kimbilio langu na ngome yangu haleluyaa

Anatupenda anatupenda anatupenda
(Heey anakupenda ulivyo ulivyo wewe Mungu wangu)
Ikiwa shwari mi nitaimba haleluya (haleluya) haleluya aaaaa
Hata kwenye dhiki mi nitaimba haleluya (haleluya) haleluya aaaaaa
Ikiwa shwari mi nitaimba haaaah usifiwe (usifiwe) usifiwee eeeeee

Leave a Reply