Zoravo – Yesu Jina la Kuaminiwa (Prophetic Anthem) Mp3 Download, Video
Today is gonna be perfect as the Tanzanian gospel music highly talented singer Zoravo who has been trending fast on all over the internet and social media platforms lately decide to release a fresh new hit track titled “Yesu Jina la Kuaminiwa” (Prophetic Anthem) to bless and perfect our day.
VERY HOT: Zoravo – Wimbo Mpya ft Upendo Nkone
The already trending hit sound which is laced with a melodious tune and inspiring lyrics is no doubt gonna make your day a special one. Connect to the sound and enjoy.
Without wasting time, do well to download the song by clicking the download link below, and don’t forget to share it with your friends and family.
Enjoy The Video Below:
Listen to Zoravo – Yesu Jina la Kuaminiwa (Prophetic Anthem) and share your thoughts below:
View Comments (2)
Yesu, Jina lako
Limeinuliwa juu
Lapita majina yote
Twakuabudu
Yesu, Jina lako
Ni dawa kwa mataifa
Wastahili wewe tu Bwana
Umezungukwa na utukufu wako
Umejivika heshima
Kama vazi
Hakuna kama Wewe
Mshauri wa ajabu
Mungu mwenye nguvu
Baba wa milele
Nani kama wewe?
Nani kama wewe?
Kuhani, mwombezi, Rafiki
Nani kama wewe
Nani kama wewe?
Hakuna kama wewe
Wa kufanana na we, hakuna
Wa kulingana na we, hakuna
Hakuna, mwingine, kama wewe
Una nguvu, Una nguvu
Una nguvu, Bwana
Haleluya, haleluya
Haleluya, Bwana
Mtakatifu, mtakatifu
Mtakatifu
Wa kufanana na we, hakuna
Wa kulingana na we, hakuna
Hakuna, mwingine, kama wewe
Thanks